Ad

 

kuhusu sisi

As Product Company ni watoaji wa mafunzo na wazalishaji wa bidhaa za majumbani.

Tunatengeneza bidhaa na kutoa mafunzo ya kutengeneza bidhaa za urembo, (sabuni za kuogea na kufulia, sabuni za mche, sabuni za maji, sabuni za kusafishia mikono na dawa za kusafishia ndani, Masinki, vyoo pia Shampoo, Krimu, Lotion, n.k

Pamoja na kuzalisha bidhaa, tumedhamiria kupunguza tatizo la ajira kwa vijana kupitia mafunzo yetu ya ujasiriamali kuhusu utengenezaji wa bidhaa ambazo hutumika kila siku majumbani.

TUPIGIE/SMS/WHATSAPP: 0682937214, SMS/WHATSAPP TU: 0769933525
0 comments

Leave a Reply

 
AS PRODUCTS CO.LTD © 2017 SpicyTricks & ThemePacific.