Watu wengi wamekuwa wakiumizwa na historia za familia zao, utamkuta mtu anakubali maneno ya mtaan kwamba kama baba ako ameshindwa kupata mafanikio wewe hutaweza kuyapata
Maneno haya huzuka tu pindi pale unapoanza kupata majaribu ambayo ni ya kawaida kwenye maisha yetu ya kila siku.
Ndugu yangu kama wengine wameshindwa haimaanishi kwamba na wewe utashindwa kwakuwa wao wameshindwa.
Usikate tamaa na kuhumiwa na historia ya maisha ya familia yenu pambana ili upate matokeo unayo yataka.
Mungu anakufahamu zaidi na anakuhitaji utimize utukufu wake kila siku, mungu hawezi kukutesa kama watu kwenye dunia wanavyodhani.
Tatizo ni kwamba watu tunasoma maandiko lakini hayatusaidii badala yake yanatupa wakati mgumu, anza kuyafanyia kazi maandiko unayoyasoma kwenye maisha yako.
pindi unapopitia magumu mungu hunena nawe "Njooni kwangu ninyi nyote msumbukao na wenye kulemewa na mizigo nami nitawapunguzia (Mathayo 11:28)
ikiwa mizigo ya maisha yako haibebeki basi wewe mkabidhi mungu kwa moyo wako wote kwani yeye yuo kwa ajili yako muda wote, usiogoe kumkabidhi mungu matatizo yako.
"usiogope kwa maana mimi ni pamoja na wewe ,usifadhaike kwa maana mimi ni mungu wako nitakuitia nguvu, nitakusaidia nitakushika mkono wa kuume wa haki yangu "(Isaya 41:10)
Kama mungu ameweka wazi juu yako kwanini wewe uogope juu ya mizigo uliyo nayo? wewe mkabidhi yeye yupo kwa ajili yako.
Kumbuka wewe huitaji historia bali unahitaji matokeo